Picha: Yamoto Band wakiondoka Kuelekea SA kufanya Video na Godfather

 Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO



Similar Posts

Leave a Reply